Nzyongo ni aina ya uchawi unaotumiwa kuwadhuru watu kupitia macho,upepo na maji
kama umedhuriwa na nzyongo chukua majivu changanya na maji kisha jipakae mwili mzima zyomgo litaondoka mara nyingi zyongo ni michezo midogo midogo ya kichawi ikiwa halitoondoka basi litakua ni tatizo lingine.

No comments:
Post a Comment