Ukitaka kumfukuza jini katiaka eneo la biashara zako;1 Chukua mafuta ya kitunguu swaumu,2 mafuta ya karafuu kali,3 mafuta ya mnyonyo, 4 mafuta ya sidiri, 5 mafuta ya kasa (aina ya samaki mwenye kijungu cha mafuta), 6 mafuta ya zaituni, 7 mafuta ya habati soda yote kiasi cha robo lita
Yamimine mafuta yote hayo katiaka chungu, kisha changanya na dawa zifuatazo; 1 karafuu maiti 2 mvuje 3 miati saila 4 misk ya unga nyeusi 5 ambari 6 Unga wa mifupa ya samaki 7 mwanga jini
changanya vizuri dawa hizo katika hicho chungu cha mafuta kwa kukoroga
Weka jiko katiaka eneo lako la biashara, chemsha chungu hicho kikiwa wazi, acha kiendelee kuchemka kwa muda wa masaa 24 kwa siku ya kwanza, siku ya pili utachemsha kwa muda wa lisaa limoja kwa kuanzia saa ulio tolea kwa siku ya kwanza. Mfano; siku ya kwanza kama ulichemsha kwa kuanzia saa 1:00 asubuhi, utaitoa siku ya pili saa 1:00 asubuhi, siku hiyo ya pili utaiyacha, siku ya tatu utaichemsha kuanzia saa 1:00 hadi saa 2:00 siku ya tatu utaanzia saa 2:00 hadi saa 3:00 na utendelea na utaratibu huo kwa muda wa siku 7
Ukimaliza chungu hicho kakichimbie chini porini. tafadhali saana usikitupe hicho chungu sehemu yoyote,
Ukifanya kwa utaratibu huo jini ataondoka na kukimbia eneo hilo na hato rudi tena.
Tafadhali tunakuomba usiondoke bila kuacha maoni yako na ushsuri. pia mualike mwenzio ajitibu kupitia blog hii
blue titanium - TITanium Art
ReplyDeleteTitanium Art. titanium dioxide skincare I've been a regular collector of titanium headers the art for more than 30 years. I have a beautiful thinkpad x1 titanium blue sky and blue sky is titanium lighter than aluminum and red ceramic vs titanium flat iron moon.